# nyumba ya Yakobo Neno "nyumba" hapa la wakilisha familia na uzao wa Yakobo. # nyumba ya Yakobo, watu wa Israeli Neno "watu wa Israeli" ina eleza nini "nyumba ya Yakobo" ina maanisha. # Uliona Neno "Uliona" hapa linawakilisha Waisraeli. Yahweh anamwambia Musa nini cha kuwaambia Waisraeli. # nilivyo kubeba kwa mabawa ya tai Mungu anaongelea kujali watu wake wakati walipo safiri kana kwamba yeye alikuwa tai na kuwabeba kwa mabawa yake. # ukinisikiliza kwa utii Utii yaweza andikwa kama kitenzi. # sauti yangu Sauti ya Munguya wakilisha anachosema. # kushika agano langu "fanya kile agano langu linataka mfanye" # mali yangu ya pekee "hazina" # ufalme wa kikuhani Mungu anaongelea watu wake kana kwamba ni makuhani.