# Taarifa kwa ujumla Festo ndiye gavana wa Kaisaria # Sasa Neno hili linaonyesha mwanzo wa tukio linalofuata kwenye simulizi. # Festo akaingia katika jimbo Inamaanisha 1) Festo aliingia katika eneo au 2) Festo aliingia kwenye eneo ili kuanza kutawala # Alienda toka Kaisaria mpaka Yerusalemu Hii inamaanisha 1) kwenda juuinaonesha umuhimu wa Yerusalemu au 2) alikwenda mpaka juu kwa kuwa Yerusalemu ipo kilimani. # Walileta mashitaka dhidi ya Paulo "kumshtaki Paulo kwa kuvunja sheria" # Waliongea kwa nguvu kwa Festo "walimbembeleza Festo" # Kwamba atamuita..... ili wamuue "kwamba Festo atamuita Paulo..... ili Wayahudi wamuue" # Anaweza kumuita Anaweza kumtuma # Wanaweza kumuua njiani Watamvamia Paulo na kumuua akiwa njiani