# Matendo 24 Maelezo kwa jumla ## Muundo na Mpangilio Paulo alimwambia mkuu wa mkoa kwamba hakutenda tukio aliloshtakiwa na Wayahudi na kwa hivyo asimwadhibu kwa asilotenda. ## Dhana maalum katika sura hii ### Heshima Viongozi wote Wayahudi (Matendo 24:2-4) na Paulo walianza kutoa hotuba zao wakitumia maneno yakudhihirisha heshima kwa mkuu wa mkoa. ## Matatizo mengine katika hii tafsiri ### Viongozi wa Kiserikali Maneno "mkuu wa mkoa", Kamanda," na "akida" yanaweza kuwa magumu kutafsiri katika lugha nyingine. ## Links: * __[Acts 24:01 Notes](./01.md)__ __[<<](../23/intro.md) | [>>](../25/intro.md)__