# Sentensi unganishi Hapa tena panaanza mateso upya. tukio la kwanza ni la kuuawa kwa Yakobo na kisha kukamatwa kwa Petro na kutiwa gerezani na baadaye kuwa huru. # Maelezo ya jumla Hii ni historia kuhusu Herode kumwua Yakobo. # Sasa Hii inaanzisha mwanzo wa simulizi. # Wakati huo Neno linalotambulisha wakati au kipindi cha njaa. # akanyosha mkono wake Inamaanisha Herode alikuwa ameanza kuwakamata waumini. # wale wanaotoka kwenye kusanyiko Ni Yakobo na Petro pekee wanatajwa kuashiria huwa hawa walikuwa viongozi wa kanisa la Yerusalemu. # ili kuwatesa "Kusababisha mateso kwa waumini" # Akamwuua Yakobo nduguye Yohana kwa upanga. Hii inaonyesha namna Yakobo alivyouawa. # Akamwua Inamaanisha ama "Herode Mfalme alimwua" au "Herode Mfalme aliagiza kuua."