# Maelezo ya Jumla: Paulo anawaasa waumini wasidanganywe kuhusu siku ambayo Yesu atarudi. # Sasa Neno "Sasa" linaonyesha kubadilika kwa mada katika maelekezo ya Paulo. # Ndugu Neno "ndugu" linamaanisha Wakristo wenzetu, linajumuisha wote wanaume na wanawake. AT: " kaka na dada" # Kwamba msisumbuliwe au kuhangaishwa kwa urahisi kwamba msiruhusu mambo yawasumbue kwa urahisi. # kwa ujumbe au barua ambayo inadhaniwa kutoka kwetu "kwa maneno au barua iliyoandikwa ambayo inadhaniwa kutoka kwetu. # kwa tokeo kwmba "kusema kwamba' # siku ya Bwana Hii inamaanisha wakati atakaporudi duniani kwa ajili ya waumini.