# Nehushta ... Elnathani Nehushta ni jina la mwanamke. Elnathani ni jina la mwanamume. # Alifanya yaliyo maovu usoni mwa Yahwe "uovu" unaweza kutafsiriwa kama "vitu ambavyo .. viovu." Hapa "uso" wa Yahwe unarejea ahukumuvyo au aamuavyo juu ya thamani ya kitu. # alifanya yote baba yake aliyoyafanya Hii inajumuisha. "alifanya baadhi ya dhambi baba yake alizokuwa amezifanya"