# Sentensi Unganishi Paulo anaendelea kuwakumbusha wao kujitenga na dhambi na kutafuta utakatifu kwa makusudi. # Wapendwa wangu "ninyi niwapendao" au rafiki wapenzi" # na tujitakase wenyewe Katika sentensi hii Paulo anasema kujitenga mbali na dhambi ambayo yaweza kuathiri uhusiano wa kila mtu na Mungu. # Na tuutafute utakatifu "na tujitahidi kuwa watakatifu" # katika hofu ya Mungu "katika hofu ya ndani kwa Mungu"