# Kazi njema Kazi ya kuheshimika # Mume wa mke mmoja Mwangalizi lazima awe na mke mmoja.Siyo sawa ikiwa hii ninawajumuisha wanaume ambao hapo nyuma walikuwa wajane au wametalikiwa, au hawakuwahi kuoa. # awe na Kiasi "Asifanye jambo lolote bila kiasi" # Busara Mtu ambaye anafikiri katika njia ya busara", au"ambaye hutumia sauti ya hukumu"au "busara"mantiki, au "akili" # Mtaratibu Tabia nzuri # Mkarimu Mwenye kukaribisha wageni # Asitumie kileo "Asiwe mlevi" au" asiwe anakunywa sana kileo" # Asiwe mgomvi "Asiwe mtu ambaye anapenda kupigana na kusemasema" # Asiwe mpenda fedha Wala mtu ambaye anaiba moja kwa moja au kupitia mitandao siyo mtu ambaye hufanya kazi kwa uwazi kuongeza fedha lakini hajali watu wengine kwa umakini.