# sentensi unganishi Paulo anawambia waamini amemtuma Timotheo kuimarisha imani zao. # Hatukuweza kuvumilia. Neno "sisi" linawaelezea Paulo, Silivanus na Timotheo lakini sio waumini wa Thesalonike. au " hatukuweza kuwa na uvumilivu tukihofu juu yenu" # Ilikuwa vyema kubaki kule Atheni peke yake. "Ilikuwa vyema kwangu na Silivanus kubaki Atheni. # Vyema "Vizuri" au "yenye mantiki" # Atheni Huu ni Mji katika jimbo la Akaiya, ambapo kwa sasa huitwa Ugiriki. # Ndugu yetu. "Mkristo mwenzetu" # Hakuna ambaye atasumbuliwa "Hakuna atakayekuwa na matatizo" au hakuna atakaye ondolewa" # Tumeteuliwa. "Tumekusudiwa"