# kumpigilia Daudi ukutani kwa mkuki kutupa mkuki wake uweze kupita kwa Daudi na kwenye ukuta # anaweza kumwua "Sauli anaweza kumwua Daudi" # Mikali.... akamuambia Mikali alimwambia Daudi # Usipoyaokoa maisha yako Hapa "Usipoyaokoa maisha yako" ni tendo ambalo linahusu kutoroka. AT "Ikiwa hutatoroka" # utauwawa Hii inaweza kuelezwa katika fomu harisi. AT "mtu atakuua"