# Hivi ndivyo mfalme atakavyotawala ... atachukua Matendo ya mfalme yatakuwa kuchukua. Huu ni mwanzo wa vitu ambavyo mfalme atachukua. # Hivi ndivyo jinsi mfalme atakavyowatawala. "Hivi ndivyo mfalme atakayetawala juu yenu atakavyofanya" # Atawaweka juu ya magari yake "Atawafanya waendeshe magari vitani" # Kuwa wapanda farasi wake Wataendesha farasi kwenda vitani.