# Sentensi Unganishi Paulo anawakumbusha kuwa ni Injili inayowaokoa na tena anawaeleza Injili ni kitu gani. Kisha anatoa somo fupi la historia kuelezea yatakayotokea hapo baadaye. # Ninawakumbusha "kuwasaidia ninyi kukumbuka" # kusimama kwayo Paulo anazungumzia habari ya Wakorintho akiwafananisha na nyumba, na Injili anaifananisha na msingi unaobeba hiyo nyumba # mmeokolewa Hii inaweza kuelezewa katika muundo tendaji "Mungu atawaokoa"