# Taarifa za jumla Bwana anaendelea kumpa Obadia ujumbe wake kwa Edomu # ndugu yako Yakobo AT "jamaa zako ambao ni wazao wa Yakobo." # utafunikwa na aibu "utakuwa na aibu kabisa" # zitakatwa milele "haitakuwepo tena." # alisimama karibu "alitazama na hakufanya chochote kusaidia" # wageni watu kutoka mataifa mengine # mali yake Neno 'wake' linamaanisha 'Yakobo,' ambayo ni njia nyingine ya kutaja watu wa Israeli. # kupiga kura kwa ajili ya Yerusalemu Maneno haya yanamaanisha 'walipiga kura ili kuamua nani atakayepata vitu muhimu ambavyo walichukua kutoka Yerusalemu.' # ulikuwa kama mmoja wao "ilikuwa ni kama wewe ulikuwa mmoja wa wageni hawa na wageni"