# Bwana, nasimama juu ya mnara Hapa "Bwana" ina maana ya mtu mwenye mamlaka ambaye alimuamuru mlinzi kusimama juu ya ukuta wa Yerusalemu. # Babeli imeanguka, imeanguka Babeli kushindwa kabisa na adui zake inazungumziwa kana kwamba Babeli imeanguka. Hapa "Babeli" ni mfano wa maneno unawakilisha watu wa Babeli. "Watu wa Babeli wameshindwa kabisa" # imeanguka, imeanguka Neno "imeanguka" inarudiwa kusisitiza ya kwamba watu wa Babeli walishindwa kabisa na adui zao.