# Mfalme Sulemani alitengeneza "wafanyakazi wa mfalme Sulemani walitengeneza" # ngao kubwa mia mbili "ngao 200 kubwa" # shekeli mia sita za dhahabu Shekeli moja ina kipimmo ch a gramu 11. "Ni kama kiasi cha kilo 6.6 cha dhahabu" # shekeli mia sita ni sawa na kilo tatu # ngao mia tatu "ngao 300" # Mane tatu za dhahabu Mane moja ni kipimo kilicho karibu sawa na gramu 600."sawa na kiasi cha kilo 1.8 za dhahabu" # ikulu ya mwitu wa Lebanoni Tazama 7:1