# Waisraeli walipaza sauti kwa Mungu "Waisraeli walimuomba Mungu kwa sauti kwa ajili ya Msaada" # Walikamata "Waisraeli walikamata Wahagri" # ngamia elfu hamsini "ngamia 50,000" # punda elfu mbili "punda 2,000" # Kwa sababu Mungu aliwapigania Msaada wa Mungu waelezwa kama mwanajeshi aliye pigana vitani. "Kwasababu Mungu aliwasaidia"