# Warubeni Hii ya husu watu kutoka kabila la Rubeni # Wagadi Hii ya husu watu kutoka kabila la Gadi # wana jeshi elfu arobaini na nne wana jeshi elfu nne "44, 000 soldiers" # walio beba ngao na upanga, na pinde na mishale Wanajeshi wanaelezwa kama wenye ujuzi vitani kwa silaha walizo beba. "Walifunzwa kupambana vizuri vitani" # Wahagri ... Yeturi ... Nafishi ... Nodabu Haya ni majina ya makundi ya watu.