# Wanaume mia tano "wanaume 500" # Pelatia, Nearia, Refaia, Uzieli, Ishi Haya ni majina ya watu. # wakimbizi wa Waamaleki waliobakia "wakimbizi walio baki" # wakimbizi watu walio lazimishwa kuondoka nchini kwao # hadi siku hii "kutoka kwao hadi sasa"