# Meshobabu, Yamileki, Yoshahi mwana wa Amazia, Yoeli, Yehu mwana wa Yoshibia mwana wa Seraia, Asieli, Elioenai, Yaakoba, Yeshohaia, Asaia, Adieli, Yesimieli, Benaia, Ziza, Shifi, Aloni Yedaia Shimiri Shemaia Haya ni majina ya wanaume # Hawa walio orodheshwa kwa majina walikua viongozi "Hawa wanaume walikuwa viongozi" # koo zao ziliongezeka sana idadi ya watu kwenye koo zao iliongezeka sana"