# Ashuri ... Tekoa ... Ahuzamu ... Heferi ... Serethi ... Ishari ... Ethnani ... Kozi ... Anubu ... Zobeba ... Aharheli ... Harumu Haya ni majina ya wanaume. # Temeni ... Ahashatari Haya hapa yana fahamika kama majina ya wanaume. Ingawa, baadhi ya tafsiri inayaelewa kama majina ya koo zilizo anzishwa na Ashuri. # Hela ... Naara Haya ni majina ya wanawake. # alimzalia "aliwaza wana wake" # a koo zilizotoka kwa Aharheli mwana wa Harumu Sentensi mpya ya anza hapa. "Kozi pia akawa babu wa Harumu na koo zilizotoka kwa Harumu mwana wa Aharheli"