# Hawa walikuwa mababu Hii ya husu orodha ya mistari ya awali. Ingawa, baadhi ya tafsiri ya husisha haya majina katika mahusiano ya baba-mwana. Katika namna hii, baadhi ya tafsiri ya husisha Penueli kama baba wa Gedori, badala ya muanzilishi wa ukoo wa Gedori. # Etamu ... Gedori ... Husha Hay ni majina ya miji. # Ishma ... Idbashi ... Penueli ... Ezeri ... Efrathi Haya ni majina ya wanaume. # Haselelponi Hili ni jina la mwanamke. # Hawa walikuwa uzao wa Huri "Penueli na Ezeri walikuwa uzao wa Huri." Hii ya tanguliza orodha itayofuata.