# Pedaya ... Shimei ... Meshulamu ... Hanania ... Hashuba ... Oheli ... Berekia ... Hasadia ... Yushabu Hesedi ... Pelatia ... Yeshaia ... Refaya ... Arnani ... Shekania Haya ni majina ya wanaume. # Shelomithi Hili ni jina la mwanamke. # Obadia Huyu mwanaume ana jina sawa na nabii wa Israeli Obadia lakini ni mtu tofauti. # uzao wake zaidi walikuwa ni Arnani, Obadia, na Shekania. Tafsiri tofauti zinawaweka hawa watu katika mahusiano tofauti wao kwa wao, kwasababu lugha ya Kiebrania haijafafanua kuwahusu.