# Yehoyakini Baadhi ya tafsiri zina "Yekonia," ambayo ni mbadala wa "Yehoyakini." # watekwa Hii inaweza kuwa cheo kilichopewa Yehoyakini kwasababu alichukuliwa matekani. Ingawa, baadhi ya tafsiri za eleza hilo neno kama "Asiri," jina la mmoja wa wanae. # YehoYakini ... Shealtieli, Malkiramu, Pedaya, Shenezari, Yekamia, Hoshama, na Nedabia Haya ni majina ya wanaume.