# alipo tawala miaka saba na miezi sita Hii ya weza tafsiriwa kama sentensi yenyewe: "Daudi alitawala huko miaka saba na miezi mitatu." # miaka thelathini na mitatu miaka mitatu - " miaka 33" # Ammieli ... Shammua ... Shobabu ... Nadhani Haya ni majina ya watu.