# Daudi Daudi alikuwa mwana wa Yese, aliye kuwa uzao wa Yuda. # Ahinoamu ... Abigail ... Maaka ... Hagithi ... Abitali ... Egla Haya ni majina ya wanawake. # Talmai ... Shefatia ... Ithraeamu Haya ni majina ya wanaume. # Danieli Huyu mtu ana jina kama la nabii wa Israeli lakini ni mtu tofauti. # Egla mkewe "Egla, mke wa Daudi." Daudi alikuwa na zaidi ya mke mmoja. "Mke wa Daudi Egla"