# Efraimu pia ni kofia yangu ya chuma Mungu anazungumzia kabila la Efraimu kana kwamba ni jeshi lake. Kofia inaashiria kifaa cha vita. "Efraimu ni kama kofia yangu ya chuma niliyochagua" au "kabila la Efraimu ni jeshi langu" # kofia ya chuma kofi ngumu ambayo askari huvaa kulinda kichwa chake dhidi ya ajali # Yuda ni fimbo yangu Mungu alichagua wanaume kutoka kabila la Yuda kuwa wafalme wa watu wake, na anazungumzia kabila hilo kana kwamba ni fimbo yake. "kabila la Yuda ni kama fimbo yangu" au "Yuda ni kabila ambalo natawalia watu wangu"