# kulia kama mbwa Mwandishi anazungumzia adui zake kutishia kushambulia watu kana kwamba ni mbwa wanalia, wanaunguruma, au wanawabwekea watu. "wanatishia kutushambulia" au "wanatishia kutushambulia kama mbwa pori" # ridhika "tosheki"