# inuka Kuamua kufanya kitu na kuanza kukifanya inazungumziwa kama kuamka. "fanya kitu" au "chukua hatua" # mataifa yote Neno "mataifa" hapa yanawakilisha watu wa mataifa ambao hawamtukuzi Mungu. "watu wa mataifa yote"