# Taarifa ya Jumla: Mwandishi anamaliza kueleza alichokisema. # tufani dhoruba kali # Wameze Kuangamiza kitu inazungumziwa kama kukila chote. Maana zinazowezekana ni "Angamiza mipango ya adui zangu" au "Waangamize adui zangu" # changanya lugha yao "Lugha" hapa inawakilisha kile ambacho watu walikuwa wakiambiana, na inaweza kumaanisha hasa wao kuzungumzia mipango ya kufanya uovu. Kuwachanganya inawaklisha kuwafanya watu washindwe kuelewana. "wachanganye wanapozungumza pamoja" au "changaya mipango yao"