# Taarifa ya Jumla: Usambamba ni kawaida katika mashairi ya Kiebrania. # Kwa mwanamuziki mkuu "Hii ni kwa kiongozi wa muziki kutumia katika kuabudu" # weka katika Mahalathi Hii inaweza kumaanisha mtindo wa muziki. # Maschili Hii inaweza kumaanisha mtindo wa muziki. # watoto wa wanadamu Hii inamaanisha watu wote # anayemtafuta Kumtafuta Mungu kama mtu inazungumziwa kama "kumtafuta" Mungu. Maana zinazowezekana ni 1) kutaka kumjua Mungu. "wanaotaka kumjua yeye" au 2) kumwabudu Mungu. "wanao mwabudu yeye" # Wote wamegeuka Kumkataa Mungu na kilicho sawa kinazungumziwa kama kugeuka. "Wote wamegeuka kutokakufanya kilicho sawa" au "Wote wamemkataa Mungu"