# mti wa kijani wa mzeituni Majani ya kijani ya mizeituni yana nguvu na ni imara. Hayaanguki. # mimi ni kama mti wa kijani wa mzeituni ndani ya nyumba ya Mungu Kuwa salama inazungumziwa kama kuwa mti imara. "Nina nguvu katika nyumba ya Mungu, kama mti wa kijani wa mzeituni" au "Kwa sababu naabudu katika nyumba ya Mungu, niko salama kama mti wa kijani wa mzeituni" # ndani ya nyumba ya Mungu Hii inamaanisha hekalu la Mungu # Nitasubiri jina lako, kwa sababu ni zuri Jina la Mungu linamaanisha Mungu mwenyewe. Kumsubiri Mungu inaashiria kumsubiri Mungu kumsaidia. "Nitakusubiri, kwa sababu u mwema" au "Nitakusubiri unisaidie, kwa sababu u mwema"