# na uniendeleza "na unishike" au "unisaidie" # njia zako "jinsi unavyotaka watu waishi" au "unachotaka watu wafanye" # watenda makosa ... watenda dhambi Maneno haya mawili yanamaanisha watu wale wale.