# ulifikiri kuwa mimi ni mtu kama wewe kwa kuwa Mungu amekaa kimya na bado hajawakemea watu waovu kwa matendo yao, walidhani kuwa Mungu amekubaliana na walichofanya. "ulifikiri kuwa mimi ni mtu nayetenda kama nyie" # shutumu "kemea" au "karipia" # kuleta ... vitu vyote ulivyofanya Mungu anazungumzia kuorodhesha mambo maovu yote waliyotenda. "orodhesha ... vitu vyote mlivyofanya" # mbele ya macho yako Hapa, kuwa "mbele ya macho yako" inamaanisha kuwa ni sehemu wanayoweza kuona. Hii inamaanisha kuwa hawataweza kukana mashtaka ambayo Mungu anawaletea. "mbele yenu" au "ili usiweze kuyakana" # nyie mnaomsahau Mungu Mungu anawazungumzia waovu kumkataa kana kwamba wamemsahau. "Anajizungumzia katika hali ya mtu wa tatu. "nyie mlio nikataa" # nitawararua katika vipande Mungu anazungumzia kuwaangamiza waovu kana kwamba ni simba anakula mawindo yake. "nitakuangamiza"