# Mbingu zitatangaza Maana zinazowezekana ni 1) mwandishi anatumia neno "mbingu" kumaanisha malaika wanaoishi huko. au 2) mwandishi anazungumzia "mbingu" kana kwamba ni mtu anayeshuhudia kuhusu haki ya Mungu.