# ili mwili wake usioze Hii inamaanisha mwili kuoza katika kaburi. # ataona uozo Mwandishi anazungumzia kupitia kitu kana kwamba ilikuwa ni kukiona hicho kitu. "atakufa na mwili wake kuoza" # Watu wenye hekima hufa; mpumbavu na mjinga wote wanaangamia Mwandishi anamaanisha watu wote kwa kuwataja wale walio na hekima nyingi zaidi na kidogo zaidi. # mjinga mtu ambaye hajui kitu