# Taarifa ya Jumla: Usambamba ni kawaida katika mashairi ya Kiebrania. # Kwa mwanamuziki mkuu "Hii ni kwa kiongozi wa muziki kutumia katika kuabudu" # Zaburi ya wana wa Kora "Hii ni zaburi iliyoandikwa na wana wa Kora" # Piga makofi Kupiga makofi inahiusishwa na sherehe. "Piga makofi kwa kusherehekea" # piga kelele kwa Mungu na sauti ya ushindi piga kelele kwa Mungu na sauti za furaha." Hapa neno "ushindi" inamaanisha furaha inayohusiana na ushindi