# Hufanya vita kukoma "Hufanya mataifa kuacha kupigana vita" # hadi mwisho wa dunia Huu ni msemo wa nahau unaomaanisha sehemu zote duniani. "sehemu zote duniani" # huvunja upinde ... huunguza ngao Njia moja ambayo Yahwe atakomesha vita vyote kwa kuangamiza silaha ambazo majeshi hutumia kupigania.