# mabishano "kutokuelewana" # umenifanya kichwa juu ya mataifa Hapa "kichwa" kinamaanisha mtawala. "umeniweka mimi kuwa mtawala juu ya mataifa # wageni walilazimika kusujudu Hii inaweza kuelezwa katika hali ya kutenda. "Mungu aliwalazimisha wageni kusujudu" # wageni walikuja wakitetemeka hapa "kutetemeka" inaonesha kuwa walikuwa wanaogopa sana. "wageni walikuja wakitetemeka, wakionesha kuwa walikuwa wanaogopa sana"