# hufanya miguu yangu miepesi Hii inaashiria kumwezesha mtu kukimbia haraka zaidi. "hunifanya nikimbie haraka sana" # kama mbawala na kuniweka pa juu Mbawala ana kasi na mtulivu milimani. # hufunza mikono yangu Hapa "mikono yangu" inamaanisha mtu. "Hunifunza" # mikono yangu Hii inaashiria mtu. "mimi"