# Kwa amri zake zote za haki ... sijazigeuka Vishazi hivi viwili vina maana ya kufanana. Mwandishi anarudia mawazo haya kwa ajili ya mkazo. # zimekuwa mbele yangu "zimeniongoza" au "nimezikumbuka" # Pia nimekuwa bila hatia ... nimejitenga na dhambi Vishazi hivi viwili vina maana ya kufanana. Mwandishi anarudia mawazo haya kwa ajili ya mkazo. # bila hatia mbele yake "bila hatia kulingana na yeye" # nimejitenga na dhambi "sijatenda dhambi" # mikono yangu ilikuwa misafi Kuwa na "mikono misafi" inamaanisha kuwa mtu hana hatia na kosa. "matendo yangu yote yalikuwa sawa" # mbele ya macho yake Hii inamaanisha uwepo wa Mungu. "mbele yake" au "kulingana na yeye"