# Alitazama juu "Mtu alitazama juu" # Naona watu wanaonekana kama miti inatembea Mtu anaona watu wanatembea, na bado hawakuwa vizuri kwake, hivyo aliwalinganisha na miti. "Ndiyo, naona watu! Wanatembea, lakini siwaoni vizuri . Wanaonekana kama miti" # Kisha tena "Yesu tena" # na mtu alifungua macho yake, macho yake yaliona Kikundi hiki cha maneno "macho yaliona" inaweza kuandikwa katika kauli tendi "Kurudisha uonaji, na mtu akafungua macho yake"