# Maelezo ya jumla Yahweh anaendelea kuongea na Yoshua # Siku zote uuongee Hii ina maana kwamba Yoshua alitakiwa kuongea juu kitabu cha sheria mara kwa mara. Neno 'mchana na usiku' huongeza mkazo na uzito. # Kisha utastawi na kufanikiwa Kimsingi maneno haya mawili yanamaanisha kitu kile kile na pia yanatia mkazo juu ya kufanikiwa kwa hali kubwa. # Je si mimi niliyekuagiza? Hii inamrejelea Yahweh akimwamuru Yoshua. "Ni mimi niliyekuagiza!" # Uwe hadori na jasiri! Yahweh anamwagiza Yoshua.