# Maelezo ya Jumla: Ktika nukuu hii nabii Yeremia alikuwa amesema agano jipya ambalo Mungu angefanya # na watu "na watu wa Israeli" # Angalia "Tazama" au "Sikiliza" au "Kuwa na tahadhari kwa lile ninalotaka kuwaambia." # Siku zinakuja Ziku zijazo zinaongelewa kana kwamba zinatembea kumkabiri mzungumzaji. AT:"ktakuwa na wakati" # nyumba ya Israeli na nyumba ya Yuda Watu wa Israeli na watu wa Yuda wanaongelewa kana kwamba wao ni nyumba. AT:"watu wa Isareli na watu wa Yuda" # Niliwachukua kwa mkono na kuwaongoza kutoka katika ardhi ya Misri. Picha inawakilisha upendo mkuu wa Mungu na kujali kwake. # hawakuendelea katika katika agano langu Kutii agano la Mungu kunaongelewa kana kwamba mtu alipaswa kuendelea katika hilo. AT: "hawakutii agano langu"