# Maelezo ya Jumla Yahweh anaendelea kumwambia Musa nini watu wafanye. # Watu Wanaume tu walifanya hii sadaka. # Ili kwamba ziwe ukumbusho kwa ajili ya wana wa Israeli mbele yangu ili kufanya upatanisho kwa ajili ya roho zenu Maana zinazo wezekana ni 1) "itawakumbusha Waisraeli kufanya upatanisho kwa ajili ya roho zao" au 2) "itawakumbusha Waisraeli wamefanya upatanisho kwa ajili ya roho zao"