# Maelezo kwa Jumla: Leodekia na Hierapoli walikwa mjini karibu na Kolosai. # Epafra Epafra alikuwa mtu aliyehubiri injili kwa watu wa Kolosai. # mmoja wenu "kutoka mji wenu" au "mwanamji mwenzenu" # mtumwa wa Kristo Yesu "ni kamati ya wanafunzi wa Kristo Yesu" # wakati wote najitahidi kukuweka katika maombi "Naomba kwa bidii kwa aljili yako" # uweze kusimama kikamilifu na uhakika "uweze kukomaa na kuwa jasiri" # Mimi ni shahidi yake, kwamba alifanya kazi ngumu kwa ajili yenu "Nimefanya uchunguzi kwamba alifanya kazi ngumu sana kwa ajili yenu" # Dema Ni mtendakazi mwingine pamoja na Paulo.