# kuhamisha, uhamisho Neno "uhamisho" hurejea kwa watu kulazimishwa mahali fulani mbali kutoka nyumbani kwao. # Damaskasi Damaskasi ni mji mkubwa wa nchi ya Siria. Bado upo katika sihemu hiyo hiyo kama ilivyokuwa katika nyakati za Biblia. # Yahwe Neno "Yahwe" ni jina binafsi la Mungu ambalo alijifunua wakati alipoongea na Musa katika kicha kilichokuwa kikiteketea. # Yahwe wa majeshi, Mungu wa majeshi, jeshi Maneno "Yahwe wa majeshi" na "Mungu wa majeshi" kidogo yanaonyesha kwamba mamlaka ya Mungu zaidi ya maelfu ya malaika wanaomtii. * Neno "jeshi" au "majeshi" ni neno ambalo linarejea kwa hesabu kubwa ya kitu, kama jeshi la watu au namba kubwa ya nyota. * Katika Agano Jipya, kirai, "Bwana wa majeshi" inamaanisha kitu kile kile kama "Yahwe wa majeshi" lakini haiwezi kutafsiriwa kwa njia hiyo kwani neno la Kiebrania "Yahwe" halikutumika katika Agano Jipya.