# Abneri Abneri alikuwa ni binamu wa Mfalme Sauli katika Agano la Kale * Abneri alikuwa Jemedari mkuu wa jeshi la Sauli, na alimtambulisha kijana Daudi kwa Sauli baada ya Daudi kumwua Goliathi # -inuka,inuka,inuka,inuka, inuka -inuka, inuka juu - kwa ujumla, neno "inuka" linamaanisha"inuka juu" au "weka juu." # Benjamini Alikuwa mtoto mdogo kuliko wote aliyezaliwa kwa Yakobo na mke wake Raheli. Jina linamaanisha, "mwana wa mkono wangu wa kuume"