# tunajichunguza Paulo aneleza uhusiano wa mtu na Mungu, jinsi mtu anavyoishi katika maisha yake kwamba anatakiwa ayaangalie maisha yake na kuyatathmini kama mtu ayetaza kitu anapotaka kukinunua. # hatutahukumiwa ikielezwa kwa muundo tendaji:" Mungu hatatuhukumu" # tunapohukumiwa na Bwana, twarudiwa, ili tusije tukahukumiwa ikielezwa kwa muundo tendaji:" Mungu anatuhukumu, anatusahihisha, ili asije akatushutumu"