# baba yake na mama yake waliomzaa Kifungu "waliomzaa" kinaelezea "baba yake na mama yake" ili kuonesha mshangao kwamba wazazi wangemtendea hivi mwanao. # Hautaishi Lazima ufe" # watamchoma Kumchoma ili kumwua."