# Kama jambo haliwezekani katika mcho ya "Ikiwa jambo fulani halionekani kuwezekana" # masalia ya watu hawa "watu wa Yuda waliosalia" # Je! lisiwezekane pia machoni pangu? Mungu anauliza swali hili ili kuwashawishi watu wake kuamini ahadi zake. # Hili ni tamko la Yahwe Kifungu hiki kwa kawaida kimetafsiriwa kama "asema Yahwe. Kifungu hiki kimetumika mara nyingi katika kitabu cha Zakaria. # Ninaelekea kuwakomboa watu wangu "Niko karibu kuwakomboa watu wangu walikwenda uamishoni"